GENZ KAA RADA – Intro ya Real Life, Real Talk, Real Vibes
Wagwan mabeste? Maze, usijidanganye—life haicheki. Hii ni manual ya street + wisdom ya heaven. Mimi ni Ambassador Steve Mbugua a.k.a. your intentional encourager, msee ameshatoka mbali hadi kwa stage ya global impact. Sikuwa perfect—mimi nilidrop out of high school nikiwa Form 2, nikaingia mtaa life—drugs, pickpocketing, mablunder mob, ile crazy ya real. For 5 solid years, nilikuwa kwa street vibe, mtaa style. But guess what? Jesus alinibeba. Nilikam back shule, same Form 2, nikaamka tena na sasa niko hapa nimeandika hii book juu yako, bro na siz.
Saa hii, God amenipeleka mbali—I’m the Founder & President of Africa Youth Rescue Initiative, movement yenye inainua vijana across Kenya na beyond. Nimefika high schools, campuses, churches, slums, stages za concerts, na ku-spread hii rada ya transformation. GENZ KAA RADA si just book—it’s a wakeup call, ni kama alarm clock ya soul yako.
Leo hii, niko na over 14 books zinatrend globally:
-
Overcoming All Odds
-
Dare Not Quit
-
Behind the Scenes
-
The Art of Effective Church Ushering
-
Building a Culture of Safety
-
Dealing with Depression, Suicide, Drugs, Porn, Masturbation, Rejection, Distractions, Peer Pressure, and many more blogs…
Niko pia na 5 successful businesses, na majority ya staff ni vijana kama wewe. Kwa platforms kama www.ambstevembugua.co.ke, www.nairobisafetyshop.org, na www.makinikaafrika.org, naenda worldwide na message ya hope, purpose, safety & destiny.
WhatsApp/Call: +254 724 036 078
Email: info@ambstevembugua.co.ke
Websites: www.ambstevembugua.co.ke | www.nairobisafetyshop.org
Najua hii generation iko na pressure mob—peer pressure, fake love, depression, drugs, TikTok pressure, devil worship, LGBTQ agenda, comparison, depression, sexual confusion. Lakini KAA RADA, USIBEBWE NA WAVE. Kuna purpose, kuna destiny, na kuna place ya greatness ndani yako. Umeitwa kuwa tofauti. Don’t kill your vibe by copying clowns.
Bro, siz, life si rehearsal. Kila siku ni final. Hii book itakuguide kama GPS ya life yako. Imejaa Sheng wisdom, Biblical truth, street reality, na God’s purpose. Na kama uliwahi feel uko hopeless—relax, this is your breakthrough guide.
GENZ KAA RADA is not just a book—ni movement, mentorship, motivation na mission ya kuamka. Chukua hatua, badilisha hali.
Amb Steve Mbugua Youth Mentorship Program, The Africa Youth Rescue Initiative